Resumo do episódio
Lydia Mwenda mwanaharakati mchanga kutoka Kenya, amekuwa mstari wa mbele kupinga mimba za mapema Skiza makala haya kufamu mengi
Lydia Mwenda mwanaharakati mchanga kutoka Kenya, amekuwa mstari wa mbele kupinga mimba za mapema Skiza makala haya kufamu mengi
Episódios
Kenya: Harakati za kupinga mimba za mapema
OuvidoLydia Mwenda mwanaharakati mchanga kutoka Kenya, amekuwa mstari wa mbele kupinga mimba za mapema Skiza makala haya kufamu mengi
Africa : Yashinikiza kujumuishwa kutunga sheria za AI
OuvidoMataifa ya Africa yamekuwa yakishinikiza kujumuishwa kweney sheria za kudhibiti matumizi za AI, ila ni kwa nini ? Skiza makala haya
Kenya : Matumizi ya AI yanazidi kuwa ngumzo duniani
OuvidoKatika makala haya tunaangazia athari ya matumizi ya AI. Skiza makala
Kenya : Wanaharakati wanashikiza kuachiliwa kwa Kizza Besigye
OuvidoWanaharakati nchini Kenya, wamekuwa wakishinikiza kuachiliwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ambaye kesi ya uhaini dhidi yake bado inaendelea. Skiza makala haya kufahamu mengi.
Kenya : Wastaafu wahangaika kupata kiinua mgongo
OuvidoKustaafu inafaa kuwa maisha mapya na mema ila wengi hukumbana na wasiotarajia, ikiwa ni pamoja na kubiri kwa muda mrefu kupata hela zao za uzeeni Nchini Kenya, wengi hupata changamoto ya kufuatilia hela zao kutoka shirika la malipo ya uzeeni la NSSF, hili likichukuwa hata miaka miwili, baadhi ya wazee wakifariki kabla ya kunufaika na mgao huo. Skiza makala haya kufahamu zaidi.